OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

OFISI YA MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI

Home>>Habari>>Kikao cha Mkuu wa Mkoa, watendaji wa ZSSF na Umoja wa Maaskari Wastaafu (UMAWA)
HabariHabari Mpya

Kikao cha Mkuu wa Mkoa, watendaji wa ZSSF na Umoja wa Maaskari Wastaafu (UMAWA)

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa akiwa katika kikao na Umoja wa Maaskari Wastaafu kilichofanyika katika Ofisi za Umoja huo Kijangwani.

Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilizungumzia suala la ujenzi wa Kituo kikuu cha daladala katika eneo hilo la Kijangwani.

Umoja huo umeridhia kupisha ujenzi huo, hata hivyo wameomba kupatiwa eneo jengine kwa ajili ya Ofisi ya UMAWA.

Serikali kupitia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF ina mpango wa kujenga

Kujengwa kwa Kituo hicho kutaondoa usumbufu wa muda mrefu wa ukosefu wa Kituo cha daladala katika Manispaa ya Mjini.