Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua Mpango Mkakati pamoja na mradi wa Tumaini wa kuzalisha taulo za wasichana kwa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bo...
Soma ZaidiWizara ya Nchi (OR) Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mikoa na Manispaa wametakiwa kuhakikisha wanalipatia ufumbuzi wa kudumu kero la upigaji wa muziki kwenye maeneo ya makaaz...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi imeamua kurudisha mnada katika Soko la Wajasiriamali la Makufuli kwa siku za Jumatano na Jumamosi kuanzia wiki ijayo. Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Ma...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa kuanza kutumika kwa Soko jipya la Samaki la Malindi kumeinua kipato cha wachuuzi na wafanyabiashara wa soko hilo tangu lifunguliwe rasmi mwezi januari mwaka huu. Akizungumza na waan...
Soma ZaidiKiasi cha shilingi bilioni 50 sawa na dola za kimarekani milioni 21 zitatumika katika ukarabati wa Jengo la Bait el ajaib lililopo forodhani. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uhif...
Soma ZaidiMatokeo ya Mitihani ya Mock Kidato cha sita Mkoa wa Mjini Magharibi ...
Soma ZaidiUongozi wa Wilaya ya Mjini umeagizwa kusimamia zoezi la kuwarejesha wafanyabiashara waliyopo katika Skuli ya Darajani kurudi kuendelea kufanya biashara zao katika kituo cha biashara cha Darajan...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuia ya Kupiga vita Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (JUKURUZA), walipofika ofisini kwake Vuga ku...
Soma ZaidiVikundi vya wajasiriamali na wavuvi waliopatiwa mikopo kupitia fedha za UVIKO 19 wametakiwa kuitumia vyema fursa ya mikopo waliyoipata katika kuendeleza kazi zao pamoja na kujipatia kipato. ...
Soma ZaidiShirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya juu Zanzibar (ZAHLIFE), limetakiwa kuwa wabunifu ili kuleta mabadiliko yenye tija katika Shirikisho hilo. Ushauri huo umetolewa na Mkuu...
Soma Zaidi