Imeelezwa kuwa uwepo wa wasaidizi wa sheria kunasaidia kuondoa changambato zinazowakabili wananchi katika kudai haki zao ndani ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa M...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Mkuu wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Rashid Hadid Rashid baada ya kumaliza mbio zake katika Wilaya tatu za Mkoa Mjini ...
Soma ZaidiMkoa Mjini Magharibi umepongezwa kwa kuonesha uzalendo na mashirikiano makubwa katika Mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka 2023 ndani ya Mkoa huo. Pongezi hizo zimetolewa na wakimbiza Mwenge wa Uhuru ...
Soma ZaidiKiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Abdallah Shaib Kaim ametoa wito kwa wanawake na vijana kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya ujasiriamali. Wito huo ameutoa wakati akitembelea mabanda ya...
Soma ZaidiSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongewa kwa ujenzi wa miradi mikubwa ya Maendeleo katika Mkoa Mjini Magharibi. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa matangi ya maji huko Kama, Kio...
Soma ZaidiViongozi wa Wilaya ya Mjini wametakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Wilaya yao. Agizo hilo limetolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Adallah Shaib Kaimu wak...
Soma ZaidiKiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdallah Shaib Kaim amezitaka Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutenga bajeti ndogo ndogo ambazo zitakwenda kuongeza nguvu katika kutunza mazingira pam...
Soma ZaidiMwenge wa Uhuru umeanza mbio zake katika Mkoa Mjini Magharibi ukitokea Mkoa wa Dar-es-salaam. Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yalifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume ambapo Mkuu w...
Soma ZaidiKiasi cha shilingi bilioni 118.6 zitatumika kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2023 katika Wilaya tatu za Mkoa Mjini Magharibi. Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe....
Soma ZaidiMfuko wa Maendeleo ya Jamii Nchini (TASAF), kwa upande wa Unguja umetakiwa kuhakikisha unasimamia vyema miradi ya maendeleo itakayotekelezwa katika awamu ya tatu ya mradi huo. Kauli hiyo imetolewa...
Soma Zaidi