RC Kitwana apiga marufuku biashara, kuegesha vyombo vya moto njia za watembea kwa miguu.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amepiga marufuku kufanya biashara na kuegesha vyombo vya moto katika njia za watembea kwa miguu pembezoni mwa barabara. Agizo hilo amelitoa leo...
Soma Zaidi