OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

OFISI YA MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI

Dira na Dhamira

Dira

Kuwa na wananchi wenye maisha bora katika Mkoa

Dhamira

Mkoa kuwa mratibu mkubwa katika utoaji wa Huduma za kijamii na kiuchumi kwa lengo la kuimarisha hali za maisha za kijamii