Mpango Mkakati tumaini kwa wasichana – Dkt. Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua Mpango Mkakati pamoja na mradi wa Tumaini wa kuzalisha taulo za
Dkt. Mwinyi. TAMISEMIM limalizeni kero la upigwaji muziki
Wizara ya Nchi (OR) Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mikoa na Manispaa wametakiwa kuhakikisha wanalipatia ufumbuzi wa kudumu kero
RC arejesha mnada Soko la Makufuli
Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi imeamua kurudisha mnada katika Soko la Wajasiriamali la Makufuli kwa siku za Jumatano na Jumamosi kuanzia wiki ijayo. Uamuzi huo
Biashara Soko la Samaki Malindi yaimarika
Imeelezwa kuwa kuanza kutumika kwa Soko jipya la Samaki la Malindi kumeinua kipato cha wachuuzi na wafanyabiashara wa soko hilo tangu lifunguliwe rasmi mwezi januari
Bilioni 50 kutumika kufanya ukarabati Beit el Ajaib
Kiasi cha shilingi bilioni 50 sawa na dola za kimarekani milioni 21 zitatumika katika ukarabati wa Jengo la Bait el ajaib lililopo forodhani. Hayo yameelezwa
Matokeo ya Mitihani ya Mock Kidato cha sita Mkoa wa Mjini Magharibi
Matokeo ya Mitihani ya Mock Kidato cha sita Mkoa wa Mjini Magharibi
Zoezi la kuwarejesha Wafanyabishara Darajani Souk laanza
Uongozi wa Wilaya ya Mjini umeagizwa kusimamia zoezi la kuwarejesha wafanyabiashara waliyopo katika Skuli ya Darajani kurudi kuendelea kufanya biashara zao katika kituo cha biashara
NGOs zatakiwa zisimamie malengo yao
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuia ya Kupiga vita Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (JUKURUZA), walipofika
Zitumieni vyema fursa za mikopo – RAS
Vikundi vya wajasiriamali na wavuvi waliopatiwa mikopo kupitia fedha za UVIKO 19 wametakiwa kuitumia vyema fursa ya mikopo waliyoipata katika kuendeleza kazi zao pamoja na
ZAHLIFE watakiwa kuwa wabunifu.
Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya juu Zanzibar (ZAHLIFE), limetakiwa kuwa wabunifu ili kuleta mabadiliko yenye tija katika Shirikisho hilo.