OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

OFISI YA MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI

Home>>Habari>>Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B katika maeneo yalioathirika na mvua zilizoambatana na upepo.
HabariHabari Mpya

Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B katika maeneo yalioathirika na mvua zilizoambatana na upepo.

Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis katika maeneo mbali mbali ya wilaya ya Magharibi B yalioathirika na mvua zilizoambatana na upepo.

Katika ziara hiyo aliongozana na Katibu tawala Wilaya ya Magharibi B , Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharibi B Khadija Said Simai pamoja na watendaji mbali mbali wa wilaya ya magharibi B.

Maeneo aliyotembelea ni pamoja na Tombondo , Shakani ,Dimani , Pamoja na Mambosasa Jangamizini

Miongoni mwa athari za Mvua maeneo ya Tomondo
Mkuu wa Wilaya akiwafariji waathirika