Sola kupunguza tatizo la umeme zanzibar – RC Idrissa
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amesema uwepo wa umeme wa Sola atasaidia kupunguza changamoto zilizopo za umeme wa kawaida. Mkuu
Wafanyakazi wa umma watakiwa kuwa waadilifu
Wafanyakazi wa wizara, mashirika na taasisi mbali mbali wametakiwa kuwa waadilifu katika kusimamia mali za Serikali. Ushauri huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
RC atoa wiki 2 kutekelezwa makubaliano
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ametoa muda wa wiki mbili kutekelezwa makubaliano yaliyofikiwa baina ya Shirika la Bandari Zanzibar na wachukuzi katika
Masheha kutoa maoni juu ya Kanuni ya Makaazi ya Watalii
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema uwepo wa Kanuni ya Makaazi ya Watalii kutasaidia kuthibiti matumizi ya nyumba zinazolaza wageni kwenye Shehia.
“Fanyeni mazoezi, kuleni vyakula vyenye virutubisho”-Mama Mariam Mwinyi
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi ametoa wito kwa jamii kuzingatia suala la
Kampeni ya msaada wa kisheria ngazi ya Mkoa yazinduliwa.
Imeelezwa kuwa uwepo wa wasaidizi wa sheria kunasaidia kuondoa changambato zinazowakabili wananchi katika kudai haki zao ndani ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa
Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Mkoa wa Kusini.
Mkuu wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Rashid Hadid Rashid baada ya kumaliza mbio zake
Mkoa Mjini Magharibi Wamiminiwa Pongezi.
Mkoa Mjini Magharibi umepongezwa kwa kuonesha uzalendo na mashirikiano makubwa katika Mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka 2023 ndani ya Mkoa huo. Pongezi hizo
Changamkieni fursa za ujasiriamali: Abdallah Kaimu
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Abdallah Shaib Kaim ametoa wito kwa wanawake na vijana kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya ujasiriamali. Wito huo
Mbio za Mwenge wa Uhuru zaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maji.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongewa kwa ujenzi wa miradi mikubwa ya Maendeleo katika Mkoa Mjini Magharibi. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa matangi