Wafanyakazi wa Umma watakiwa kutoa mashirikiano kwa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar
Wafanyakazi wa umma wametakiwa kutoa mashirikiano yao kwa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF), ili mfuko huo uweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Ushauri
“Zanzibar Taka Ziro Inawezekana” Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe Mahmoud Muhammed Mussa amesema Baraza la Jiji la Zanzibar kwa kushirikiana na Taasisi zinazoshughulika na masuala ya Usafi
“Dira ya Maendeleo 2025-2050 ikidhi mahitaji ya Taifa”- RC Kitwana
Imeelezwa kuwa ushirikishwaji mpana wa wadau mbali mbali katika maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025-2050 utawezesha kupata Dira jumuishi yenye kukidhi
RC Kitwana azindua Kampeni ya Kata Bima bila Shuruti
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amezindua Kampeni ya “Kata Bima Bila Shuruti” yenye lengo la kukakikisha vyombo vyote vya moto vinavyotembea
Bilioni 40 kutumika kwa ujenzi wa Skuli
Zaidi ya shilingi bilioni arubaini zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Skuli saba za horofa zinazoendelea kujengwa maeneo mbali mbali katika Mkoa Mjini Magharibi.
Vikosi vya SMZ vyatakiwa kuongeza kasi ujenzi wa Masoko
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleimn Abdalla ameviagiza Vikosi vya SMZ vilivyokabidhiwa kazi ya ujenzi wa masoko
RC apongeza mshirikiano yaliyooneshwa Mwenge wa Uhuru 2023
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa Mjini Magharibi ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amepongeza mashirikiano makubwa yaliyooneshwa na
Zitumieni fursa zitokanazo na Kiswahili: Mhe. Majaliwa
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka watanzania kuisoma lugha ya Kiswahili ili kunufaika na fursa mbali
Mkoa wapata mafanikio ujenzi wa miradi ya maendeleo
Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi imeeleza kupata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya awamu
RC afunga Mkutano wa TAUTA
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameitaka Jumuia ya Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa (TAUTA), kukitumia chombo hicho kuelimisha jamii juu ya umuhimu