Miradi ya Maji yaondoa tatizo la ukosefu wa Maji Safi na Salama Mkoa Mjini Magharibi
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameishukuru bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA kwa juhudi zake za kusimamia na
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi , inayo furaha kukukaribisha katika tovuti hii. Tunatumaini utapata taarifa zetu mbali mbali, huduma, makala na mengi mengineyo yanayohusu shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ndani ya Mkoa Mjini Magharibi. Ni matumaini yangu kuwa kila atakayetembelea tovuti hii atahabarika, ataelimika na atafurahika. Tunafurahi sana kupata maoni na ushauri wa watembeleaji wa tovuti hii na tunathamini kila maoni tutakayoyapokea.
Kabla ya Mapinduzi ya mwaka 1964 Zanzibar iligaiwa jiografia katika maeneo makubwa matatu yaliyopewa hadhi ya Wilaya ambayo ni :-
Kutokana na hali hiyo Zanzibar baada ya Mapinduzi ikayapa maeneo hayo hadhi ya kuwa Mikoa, hivo kuifanya Zanzibar kugawika katika Mikoa mitatu, Mikoa miwili Unguja na mmoja Pemba. Pia Zanzibar iligaiwa katika mudiriat 10 ambapo kwa Unguja 06 na Pemba 04, kwa wakati huo eneo la Mkoa mjini mMagharibi likijuulikana kwa jina la Mkoa Mjini ambao umegaiwa katika mudiriat ya Mjini na mudiriat ya shamba, baadae mudiriat zikaitwa Wilaya na viongozi waliitwa Wakuu wa Wilaya (Area Commission) .
Katika miaka ya 1970, Zanzibar iligaiwa katika Mikoa 04 ikijumuisha:-
1. Mkoa Mjini Magharibi
2. Mkoa wa Kusini
3. Mkoa wa Kaskazini
4. Mkoa wa Pemba
Ambapo Mkoa Mjini Magharibi uligaiwa katika Wilaya ya Mjini na Magharibi. Mikoa yote ya Zanzibar ukiwemo Mkoa Mjini Magharibi ilikuwa chini ya Ofisi ya Rais, kuanzia wakati wa Mapinduzi hadi ilipoanzishwa Ofisi ya Waziri |Kiongozi kwa toleo la tarhe 03 May
1984 la mabadiliko ya Wizara na Idara zake. Ofisi za Mikoa ukiwemo Mkoa Mjini Magharibi miaka ya 2000 wakati wa utawala wa Rais wa awamu ya tano Dk Salmin Amour Juma …….
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameishukuru bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA kwa juhudi zake za kusimamia na
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema yapo maeneo mbali mbali ambayo Mkoa huo utaweza kushirikiana na Mkoa wa Zhejiang kupitia uhusiano uliyoanzishwa.
Wakaazi wa Nyumba za Mjerumani ziliopo Kikwajuni wameeleza kuridhishwa na mapendekezo ya Serikali ya kutaka kujenga Mji wa kisasa katika eneo hilo. Kauli hizo zimetolewa