Wilaya ya Magharibi “A”

Wilaya ya Magharibi “A” ni  moja kati ya Wilaya tatu (3) za Mkoa wa Mjini Magharibi.

Wilaya ya Magharibi “A” ina majimbo sita 5 ya kiuchaguzi, wadi 10 na Shehia 31.

Ki Utawala
Wilaya ya Magharibi “A” imeundwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Baraza la Manispaa. Ofisi ya Mkuu wa Wilaya  inaongozwa na Mkuu wa Wilaya Muheshimiwa Suzan Peter Kunambi na Katibu Tawala Ndugu Juma Hamad.

Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inajumla ya vitengo vitatu :-

  • Mipango na uratibu
  • Fedha
  • Utumishi

Majukumu ya Wilaya

  • Kufuatilia, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa shughuli mbali mbali za Serikali ndani ya Wilaya
  • Kuhakikisha kuwa sera, Mipango na miongozo ya Serikali inatekelezwa
  • Kuhakikisha kuwa Sheria na kanuni zinafuatwa katika Wilaya kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
  • Kuhakikisha kuwa rasilimali zote zinatumika kwa ajili ya kuimarisha uchumi na ustawi wa jamii.

MASHEHA WILAYA YA MAGHARIBI “A” MWAKA 2021

NOSHEHIAJINA LA SHEHA
 1BUBUBUSUWELLUM ALI JUMA
 2BUBUBU CHEMCHEMAME MAKAME JUMA
 3BUMBWI SUDIHAWA SHABAN KAZWIKA
 4CHUINIMOHAMMED SHEHA KHEIR
 5DOLESUBIRA AMIRI AMOUR
 6HAWAIIMWADINI HAJI JONGO
 7KAMAKHAMIS BAKARI KHAMIS
 8KIANGARAJAB ASEDI MVITA
 9KIBWENISUBIRA HAJI YAHYA
 10KIDICHI***
 11KIHINANIOMAR JUMA MASOUD
 12KIKAANGONI***
 13KIZIMBANIJUMA SULEIMAN KHAMIS
 14KWA GOAALI HAJI ALI
 15MASINGINIRAMADHAN KHAMIS ALI
 16MBUZININDAGULA HASSAN JUMA
 17MFENESINISHAABAN ABDALLA SULEIMAN
 18MICHIKICHINIKIJAKAZI FERUZI KHAMIS
 19MTOFAANI***
 20MTONI***
 21MTONI CHEMCHEMRASHID JADI RASHID
 22MTONI KIDATUMUKI MAKAME USSI
 23MTOPEPOISSA AHMADA HIJA
 24MUNDULIHAMAD SALUM HAMAD
 25MWAKAJEKASONGO OMAR KASONGO
 26MWANYANYAHASSAN RAJAB BAKARI
 27MWEMBE MCHOMEKEALI HAJI NEMSHI
 28MWERASILIMA KHAMIS ZAHOR
 29SHARIMSAWANU MAKAME HASSAN
 30UHOLANZIISMAIL JUMA HASSAN
 31WELEZOMOH’D OMAR KHAMIS