March 12, 2026

Huduma

Huduma za Elimu

  • Kutoa uhamisho wa wanafunzi
  • kufuatilia uendeshaji na usimamizi wa shule za Msingi na Sekondari za Serikali na binafsi
  • Kukusanya na kuchambua takwimu za elimu
  • Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu
  • Kusimamia usajili wa wanafunzi darasa la awali, kwanza  na kidato cha kwanza
  • Kusimamia mitihani ya utimilifu na ya kitaifa
  • Kuhimiza utoaji wa Motisha kwa walimu na shule zinazofanya vizuri  katika Mitihani mbalimbali
  • Kusimamia uendeshaji wa elimu ya watu wazima

Huduma za Jamii

  • Migogoro ya Ardhi
  • Ndoa za Kiserikali
  • Kushughulikia kesi za udhalilishaji
  • Kuratibu misaada ya wazee
  • Kuratibu masuala ya watu wenye ulemavu

Huduma za Uchumi na Uzalishaji Mali

  • Kufuatilia maendeleo ya wajasiriamali
  • Kusaidia na kutoa ushauri katika uanzishaji na uendelezaji wa viwanja vidogo vidogo na vya kati katika Mkoa
  • Kutoa ushauri wa kitaalam juu ya masuala ya kilimo, ufugaji, uvuvi, viwanda biashara na masoko.
  • Kutoa msaada wa uwezeshaji wananchi kiuchumi na kijamii