Yatumieni mafunzo kuleta mabadiliko ya kiutendaji – RAS
Wafanyakazi wa Afisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuyatumia mafunzo wanayoyapata kazini kuleta mabadiliko chanya katika utendaji wa kazi zao. Agizo hilo limetolewa
Tawala yatwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi
Mabingwa wa mpira wa miguu wa mashindano yanayoshindanisha timu za Wizara, Mashirika na Taasisi za Serikali timu ya Tawala imekabidhiwa rasmi kombe la mashindano hayo.
Rais Samia aipongeza SMZ
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa usimamizi mzuri wa fedha za UVIKO 19 zilizototumika kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo kwa sekta mbali mbali.
Dkt. Mwinyi azindua Diko na Soko la Samaki Malindi.
Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Japan kwa ujenzi wa Diko na Soko la kisasa la Samaki
Fainali Tawala vs Kivunge yaahirishwa
Fainali ya kombe la Mapinduzi Cup kwa timu za Wizara Mashirika na Taasisi za SMZ iliyokuwa ipigwe jana kati ya Tawala na Hospitali ya Kivunge
Wizara ya Biashara na maendeleo ya viwanda yapongezwa kwa kuboresha maonesho ya Biashara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameipongeza Wizara ya Biashara na maendeleo ya viwanda kwa kuboresha Maonesho ya Tisa Biashara
Serikali kujenga viwanja vya michezo kila Wilaya na Mkoa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba Serikali itajenga viwanja vya kisasa vya michezo kila Wilaya
Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wamshukuru Rais Mwinyi
Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wamemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kuelekeza kiasi kikubwa cha fedha kwa
SMZ yaimarisha miundombinu kwa vijana kuweza kujiajiri
Serikali ya Mapindunzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha miundombinu rafiki kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri kwa kuendelea kujenga vyuo vya mafunzo ya amali mbali mbali
Maegesho ya Gari Michenzani Yazinduliwa
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amezindua rasmi maegesho ya gari yaliyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF),