OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

OFISI YA MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI

Home>>Habari>>Uteuzi wa Masheha
HabariHabari Mpya

Uteuzi wa Masheha

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amefanya uteuzi wa masheha katika baadhi ya shehia za Wilaya ya Magharibi “A” na “B”. Masheha wenyewe ni kama ifuatavyo:-

Wilaya ya Magharibi “A”

Ndugu Rehema Ame Khatib – Shehia ya Mtofaani

Ndugu Khamis Ussi Juma – Shehia ya Kijichi

Ndugu Khatib Haroub Khatib – Shehia ya Kikaangoni

Ndugu Zahra Hassan Mohamed – Shehia ya Mtoni

Wilaya ya Magharibi “B”

  • Ndugu Omar Bakari Simba – Shehia ya Uzi

Uteuzi huo umeanza tarehe 22 Februari 2023