OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

OFISI YA MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI

Home>>Habari>>Meya wa Jiji afungua Kongamano la kupinga unyanyasaji.
HabariHabari Mpya

Meya wa Jiji afungua Kongamano la kupinga unyanyasaji.

Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohammed Mussa amefungua kongamano la kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika jamii.

Akihutubia wakati akifungua kongamano hilo amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inayoongozwa na Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi inapinga vikali vitendo vya unyanyasaji vinavyofanyika katika jamii.

Amesema Serikali imedhamiria kutunga Sheria kali dhidi ya watu watakaofanya vitendo hivyo vya unyanyasaji wa kijinsia.