OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

OFISI YA MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI

Home>>Habari>>Dr Mwinyi afutarisha Mkoa Mjini Magharibi
HabariHabari MpyaHabari Picha

Dr Mwinyi afutarisha Mkoa Mjini Magharibi

Hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa ajili wa wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi. Iftar hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Michenzani Mall.

Viongozi mbali mbali pamoja na Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi waliohudhuria katika hafla ya Iftar iliyofanyika ukumbi wa Michenzani Mall