Walimu wakuu watakiwa kuhakikisha matokeo mazuri mtihani kidatu cha sita 2024
Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari za Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuhakikisha wanafunzi wa kidatu cha sita wanafaulu vizuri katika mitihani yao ya taifa wanayotarajia
Dkt.Mwinyi awanasihi wafanyabiashara kutopandisha bei za vyakula.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumatatu tarehe 26-2-2024 amefanya ziara maalum kutembelea masoko mbali mbali na
RC Kitwana afanya ziara miradi ya ujenzi wa masoko
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka wakandarasi wanaojenga Soko la Chuini, Jumbi na Mwanakwerekwe kuongeza kasi ya ujenzi ili kuhakikisha miradi hiyo
RC Kitwana afanya mazungumzo na Bishop Shayo
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amesema Serikali itahakikisha wananchi wa Mkoa huo wanaendea kuishi pamoja licha ya tofauti zao za imani
RC Kitwana alitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa uweledi na uwadilifu
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka wapiganaji wa Jeshi la Polisi mkoani humo kufanya kazi kwa uweledi na uwadilifu mkubwa ili
RC Kitwana aishukuru Benki ya Dunia
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeishukuru Benki ya Dunia kwa uamuzi wake wa kukaa pamoja na viongozi na watendaji wa Serikali ngazi ya Mikoa na
Hali ya Ulinzi yaimarisha. RC Kitwana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uhamasishaji ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Idrissa
Hospitali ya Wilaya ya Magharibi ‘B’ Yafunguliwa Rasmi.
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeendelea katika Mkoa Mjini Magharibi ambapo Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume amefungua
Dkt.Shein aitaka Wizara ya Afya Kusomesha Madaktari zaidi.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameisisitiza Wizara ya Afya kusomesha vijana wa fani mbali mbali katika sekta ya afya Ili kupata wataaamu
Serikali Kuendeleza Ujenzi wa Miradi ya Maji
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Othman Masoud Othman amefungua mradi wa maji safi na salama Skimu ya Masingini, Wilaya ya Magharibi ‘A’. Akihutubia wananchi