Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Japan kwa ujenzi wa Diko na Soko la kisasa la Samaki Malindi. Wamesema ujenzi wa Soko hilo unakwe...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Fainali ya kombe la Mapinduzi Cup kwa timu za Wizara Mashirika na Taasisi za SMZ iliyokuwa ipigwe jana kati ya Tawala na Hospitali ya Kivunge katika uwanja wa Aman imeahirika baada ya golikipa wa Ta...
Soma ZaidiWizara ya Biashara na maendeleo ya viwanda yapongezwa kwa kuboresha maonesho ya Biashara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameipongeza Wizara ya Biashara na maendeleo ya viwanda kwa kuboresha Maonesho ya Tisa Biashara ya Biashara yanayoendelea katika vi...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba Serikali itajenga viwanja vya kisasa vya michezo kila Wilaya na Mkoa pamoja kuufanyia ukarabati mkubw...
Soma ZaidiWananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wamemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kuelekeza kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya ...
Soma ZaidiSerikali ya Mapindunzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha miundombinu rafiki kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri kwa kuendelea kujenga vyuo vya mafunzo ya amali mbali mbali kwa aj...
Soma ZaidiWaziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amezindua rasmi maegesho ya gari yaliyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), eneo la Michenzani M...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi katika usafi wa mazingira kumeonesha ni kwa kiasi gani wanavyounga mkono Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 1964 Kauli hiyo ime...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewahimiza wafanyakazi wa Mkoa huo kuongeza bidii ya kazi mwaka 2023 ili kuweza kufikia malengo waliyojiwekea. Amesema hayo katika hafla y...
Soma ZaidiTimu ya Wizara ya Nchi (AR) Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ imefuzu kucheza fainali za mashindano ya kombe la Mapinduzi kwa timu za Wizara na taasisi za Serikali. Tawala iliitandika Wizara ...
Soma Zaidi