Walimu Wakuu wa Skuli za Sekondari za Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuhakikisha wanafunzi wa kidatu cha sita wanafaulu vizuri katika mitihani yao ya taifa wanayotarajia kuanza tarehe 6 Mei, 2...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumatatu tarehe 26-2-2024 amefanya ziara maalum kutembelea masoko mbali mbali na Bandari ya Malindi Mkoa wa Mjini ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka wakandarasi wanaojenga Soko la Chuini, Jumbi na Mwanakwerekwe kuongeza kasi ya ujenzi ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilik...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amesema Serikali itahakikisha wananchi wa Mkoa huo wanaendea kuishi pamoja licha ya tofauti zao za imani ya dini tofa...
Soma ZaidiMkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka wapiganaji wa Jeshi la Polisi mkoani humo kufanya kazi kwa uweledi na uwadilifu mkubwa ili kuweza kuleta ufanisi katika utekelezaji w...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeishukuru Benki ya Dunia kwa uamuzi wake wa kukaa pamoja na viongozi na watendaji wa Serikali ngazi ya Mikoa na Wilaya kwa ajili ya kuwasilisha mwongozo wa mir...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uhamasishaji ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa amesema hali ya ulinzi imezi...
Soma ZaidiShamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeendelea katika Mkoa Mjini Magharibi ambapo Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume amefungua Hospitali ya Wilaya ya Magha...
Soma ZaidiRais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameisisitiza Wizara ya Afya kusomesha vijana wa fani mbali mbali katika sekta ya afya Ili kupata wataaamu wengi zaidi watakaoweza kuitumikia nchi yao. ...
Soma ZaidiMakamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Othman Masoud Othman amefungua mradi wa maji safi na salama Skimu ya Masingini, Wilaya ya Magharibi 'A'. Akihutubia wananchi waliohudhuria hafla hiyo ikiwa ni kat...
Soma Zaidi