Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo kwenye Mkoa huo ndani ...
Soma ZaidiJumla ya vituo 11 vya tehama na minara ya mawasilianao 42 ambayo imegharimu shilingi bilioni 6.9 imejengwa katika Wilaya zote za Unguja na Pemba kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote USCA...
Soma ZaidiKamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa Mjini Magharibi imeanzisha operesheni maalum katika Shehia zote 121 za Mkoa huo ya kuwakamata watu wanaofanya vitendo vya uporaji, wizi na uhalifu. Ak...
Soma ZaidiKamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Balozi Mohammed Hamza ameupongeza uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi kutokana na mashirikiano yao makubwa yaliyopelekea kufanikisha zoezi la sensa katika Mkoa huo. ...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi imesema kwamba milango iko wazi kwa wawekezaji kutoka nje kuja kuwekeza katika Mkoa huo. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mus...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh’d Ali Abdalla amewataka Maofisa habari, uhusiano na tehama kutoa taarifa kupitia vyombo mbambali vya habari juu mambo yanayotekelezwa na Serikali ndani ya...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi, asubuhi ya leo Jumanne tarehe 11 Oktoba ameondoka Zanzibar kuelekea Oman kwa ziara ya kikazi ya siku nne kufuatia mwa...
Soma ZaidiWadau wa Demokrasia watakiwa kuondosha tofauti zao katika kuiletea maendeleo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wadau wa Demokrasia kuondoa tafauti zao za kisiasa katika kujadili masuala ya maendeleo nchini. Ameyase...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh.Idrissa Kitwana Mustafa amesema kunahaja ya vijana kuijuwa historia ya Zanzibar kuliko wageni kutoka nje kwa maendeleo ya vizazi vya sasa na baadae. Aidha amesema Z...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibu Mohamed Ali Abdalla amewapongeza wafanyakazi wa Mkoa huo kwa uamuzi wao wa kuunda timu ya mpira wa miguu ya Mkoa. Akizungumza na wafanyakazi hao hapo Afis...
Soma Zaidi