Maoni yanayokusanywa kuhusu kanuni za kuendesha vikao vya Kamati za Maendeleo ya Mikoa yataimarisha utekelezaji- RC Kitwana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema kuwa maoni yanayokusanywa kuhusu rasimu ya muongozo wa majukumu na uendeshaji wa vikao vya Kamati za Maendeleo za Mikoa yatasaidia kubores...
Soma Zaidi