Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka Masheha wa Mkoa huo kuongeza mashirikiano katika utendaji wa kazi zao. Amesema mashirikiano baina yao ndio njia pekee itakayoweza...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh'd Ali Abdalla ameitaka Kamati ya Mitihani ya Mkoa huo kusimamia vyema mitihani ya taifa ya kidatu cha nne ambayo imeanza kufanyika mwanzoni mwa wiki hii. ...
Soma ZaidiBaraza la Biashara la Mkoa limeshauriwa kuziangalia sheria na kanuni zinazosimamia biashara
Baraza la Biashara la Mkoa Mjini Magharibi limeshauriwa kuziangalia sheria na kanuni zinazosimamia biashara ili kuepuka wafanya biashara wa jumla kujiingiza katika kufanya biashara za reja reja. ...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa kutokana na matokeo ya sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 kuna haja kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuupa kipaumbele Mkoa Mjini Magharibi katika mipango yake mbali mbal...
Soma ZaidiWananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wamempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo kwenye Mkoa huo ndani ...
Soma ZaidiJumla ya vituo 11 vya tehama na minara ya mawasilianao 42 ambayo imegharimu shilingi bilioni 6.9 imejengwa katika Wilaya zote za Unguja na Pemba kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote USCA...
Soma ZaidiKamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa Mjini Magharibi imeanzisha operesheni maalum katika Shehia zote 121 za Mkoa huo ya kuwakamata watu wanaofanya vitendo vya uporaji, wizi na uhalifu. Ak...
Soma ZaidiKamisaa wa Sensa ya Watu na Makaazi Balozi Mohammed Hamza ameupongeza uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi kutokana na mashirikiano yao makubwa yaliyopelekea kufanikisha zoezi la sensa katika Mkoa huo. ...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi imesema kwamba milango iko wazi kwa wawekezaji kutoka nje kuja kuwekeza katika Mkoa huo. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mus...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh’d Ali Abdalla amewataka Maofisa habari, uhusiano na tehama kutoa taarifa kupitia vyombo mbambali vya habari juu mambo yanayotekelezwa na Serikali ndani ya...
Soma Zaidi