Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amezindua rasmi maegesho ya gari yaliyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), eneo la Michenzani M...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa ushiriki mkubwa wa wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi katika usafi wa mazingira kumeonesha ni kwa kiasi gani wanavyounga mkono Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 1964 Kauli hiyo ime...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewahimiza wafanyakazi wa Mkoa huo kuongeza bidii ya kazi mwaka 2023 ili kuweza kufikia malengo waliyojiwekea. Amesema hayo katika hafla y...
Soma ZaidiTimu ya Wizara ya Nchi (AR) Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ imefuzu kucheza fainali za mashindano ya kombe la Mapinduzi kwa timu za Wizara na taasisi za Serikali. Tawala iliitandika Wizara ...
Soma ZaidiMasheha wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kufuatilia kwa karibu watu wanaohamia kwenye Shehia zao ili kudhibiti wahamiaji haramu. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa...
Soma ZaidiTimu ya Wizara ya Nchi (AR) Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuibwaga mabao 2-1 timu ya Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni ...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umelishukuru Shirika la Misaada la Marekani USAID na Jumuia ya Zanzibar Muslim Women AIDS Support Organization (ZAMWASO), kwa msaada wao kwa watoto na kaya zilizo kati...
Soma Zaidi“Ipo haja kwa Watumishi kupatiwa Mafunzo ya Ulinzi wa Mifumo ya Mitandao” RC Kitwana.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Idrissa Kitwana Mustafa amesema ipo haja kwa Watumishi kupatiwa Mafunzo ya Ulinzi wa Mifumo ya Kompyuta na kuzuwia wizi wa Mitandao ili waweze kulinda taarifa mbal...
Soma ZaidiMstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohammed Mussa amefungua kongamano la kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika jamii. Akihutubia wakati akifungua kongamano hilo amesema Ser...
Soma ZaidiMamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA imesema kwamba tayari imetoa elimu kwa watendaji na wasimamizi wa fedha wa Mabaraza ya Manispaa na Halmashauri lengo ni kuondoa kasoro ambazo...
Soma Zaidi