Uongozi wa Wilaya na Baraza la Manispaa Magharibi 'B' umetakiwa kutosita kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wafanyakazi wasiowajibika. Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewaapisha Masheha wa Shehia tano za Mkoa huo aliwateua tarehe 14/12/2023. Masheha aliowaapisha kwa Wilaya ya Mjini ni Maryam Laban...
Soma ZaidiMasheha wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuwatumia kikamilifu Polisi Shehia katika kushughulikia changamoto mbali mbali kwenye maeneo yao. Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi, Kamishna ...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeahidi kutoa kila aina ya mashirikiano kwa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia ili kuhakikisha dhamira ya Serikali kuunda Kamati hiyo inafikiwa. ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kufikia malengo ya makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita. Amesema mafanikio hayo yanaonesha ni kw...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema kwamba utaendelea kufanya kazi kwa karibu na taasisi zenye lengo la kuisaidia jamii. Katibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh’d Ali Abdalla amesema hayo...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewahimiza viongozi wa mabaraza ya vijana taifa, mkoa, wilaya na shehia kupanga mikakati madhubuti ili kuhakikisha vijana wanaendelea kulindwa dh...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameipongeza Ofisi ya Mtakwimu Zanzibar kwa kutoa elimu kwa Masheha na Madiwani wa Mkoa huo kuhusu matumizi ya takwimu za sensa ya watu na mak...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kiwana Mustafa ameziagiza Wilaya kuratibu na kufanya tathmini ya haraka ya miundo mbinu na makaazi ya watu waliyoathirika na mvua kubwa zilizonyesha mwishoni mwa ...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa mashirikiano ya karibu baina ya Manispaa na Jiji ndio njia pekee itakayopelekea kuleta ufanisi wa kazi. . Katibu Tawala Mkoa wa Mjini Magharibi Mohamed Ali Abdallah amewataka ...
Soma Zaidi