Bonyeza Hapa Kupata Matokeo ya Mitihani ya Mock 2023 Mkoa Mjini Magharibi ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amewataka Masheha wa Mkoa huo kushirikiana na Jeshi la Uhamiaji katika kuwatambua wageni wanaoishi kwenye maeneo yao bila kufuata sheria na t...
Soma ZaidiMabondia wa ngumi za kulipwa Karim Mandonga , Dula Mbabe na Ibrahim Class wanatarajiwa kuwasili Zanzibar kesho mchana katika Bandari ya Malindi kwa ajili ya kupima uzito kwa maandalizi ya...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa amesema mashirikiano ya wadau mbali mbali ni muhimu katika kufanikisha mpango wa miaka mitano wa kutokomeza malaria hapa Zanzibar. Amesema ...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi umezitaka Wizara mbali mbali kuushirikisha kikamilifu Mkoa huo katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na uongozi wa Mkoa huo katika kikao ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi idrissa Kitwana Mustafa amewataka watendaji na wafanyakazi wa Baraza la Manispaa Mjini kubadilika katika utendaji wa kazi zao. Amesema baadhi wa wafanyakaz...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeahidi kuwa utachukuwa hatua za haraka kukaa pamoja na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ili kuweza kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazozikabili Skuli mbali mbali ...
Soma ZaidiWafanyakazi wa Umma watakiwa kutoa mashirikiano kwa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar
Wafanyakazi wa umma wametakiwa kutoa mashirikiano yao kwa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF), ili mfuko huo uweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Ushauri huo umetolewa n...
Soma ZaidiMstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe Mahmoud Muhammed Mussa amesema Baraza la Jiji la Zanzibar kwa kushirikiana na Taasisi zinazoshughulika na masuala ya Usafi litahakikisha Mji wa Zanzibar unabaki ...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa ushirikishwaji mpana wa wadau mbali mbali katika maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025-2050 utawezesha kupata Dira jumuishi yenye kukidhi mahitaji stahiki ya Taifa kwa...
Soma Zaidi