Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi imeeleza kuwa itatoa mashirikiano ya kutosha ili kufanikisha mradi wa miaka minne wa kuwawezesha vijana kujitegemea unaofadhiliwa na Shirika la Misa...
Soma ZaidiWafanyakazi wa Afisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuyatumia mafunzo wanayoyapata kazini kuleta mabadiliko chanya katika utendaji wa kazi zao. Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawa...
Soma ZaidiMabingwa wa mpira wa miguu wa mashindano yanayoshindanisha timu za Wizara, Mashirika na Taasisi za Serikali timu ya Tawala imekabidhiwa rasmi kombe la mashindano hayo. Tawala alikabidhiwa komb...
Soma ZaidiSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa usimamizi mzuri wa fedha za UVIKO 19 zilizototumika kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo kwa sekta mbali mbali. Pongezi hizo zimetolewa na Rais...
Soma ZaidiWananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Japan kwa ujenzi wa Diko na Soko la kisasa la Samaki Malindi. Wamesema ujenzi wa Soko hilo unakwe...
Soma ZaidiFainali ya kombe la Mapinduzi Cup kwa timu za Wizara Mashirika na Taasisi za SMZ iliyokuwa ipigwe jana kati ya Tawala na Hospitali ya Kivunge katika uwanja wa Aman imeahirika baada ya golikipa wa Ta...
Soma ZaidiWizara ya Biashara na maendeleo ya viwanda yapongezwa kwa kuboresha maonesho ya Biashara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameipongeza Wizara ya Biashara na maendeleo ya viwanda kwa kuboresha Maonesho ya Tisa Biashara ya Biashara yanayoendelea katika vi...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba Serikali itajenga viwanja vya kisasa vya michezo kila Wilaya na Mkoa pamoja kuufanyia ukarabati mkubw...
Soma ZaidiWananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wamemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kuelekeza kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya ...
Soma ZaidiSerikali ya Mapindunzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuimarisha miundombinu rafiki kwa vijana ili kuwawezesha kujiajiri kwa kuendelea kujenga vyuo vya mafunzo ya amali mbali mbali kwa aj...
Soma Zaidi