Maudhui haya yamehamishwa kutoka kumbukumbu ya tovuti ya 2020–2021. Taarifa za viongozi, takwimu na mawasiliano zinahitaji uhakiki wa sasa.
- Kitengo cha Habari na Mawasiliano
- Kukusanya na kusambaza taarifa mbali mbali zinazohusu Mkoa huu zinazotekelezwa na Serikali, Mkuu wa Mkoa, viongozi mbali mbali wa Mkoa, Wilaya, Manispaa pamoja na wananchi kupitia vyombo vya habari vya Serikali na binafsi.
- Kukusanya na kusambaza taarifa mbali mbali kupitia vyombo vya habari vya serikali na binafsi (TV/Redio/on line TV), zinazohusu Mkoa huu zinazotekelezwa na Serikali, Mkuu wa Mkoa, viongozi mbali mbali wa Mkoa, Wilaya, Manispaa pamoja na wananchi.
- Kuhakikisha uwepo na kuvitunza vitendea kazi.
- Kushirikiana na Maofisa Habari na Maofisa Uhusiano wa Wilaya na Mabaraza ya Manispaa yaliyomo Mkoa Mjini Magharibi.
