Tovuti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa · Zanzibar
Wasiliana nasi|Dira na DhamiraKiswahili
Nembo ya Serikali ya Mapinduzi ya ZanzibarSERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAROfisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini MagharibiHuduma bora. Uratibu imara. Maendeleo endelevu.
MJINI MAGHARIBIVuga, Zanzibar

ZEC - Ugawaji wa vitambulisho vya Kura

Imechapishwa 27.07.2020 · Habari Mpya

Maudhui haya yamehamishwa kutoka kumbukumbu ya tovuti ya 2020–2021. Taarifa za viongozi, takwimu na mawasiliano zinahitaji uhakiki wa sasa.
ZEC - Ugawaji wa vitambulisho vya Kura

 Vitambulisho vya kupiga kura vimeanza kutolewa na Tume hiyo kupitia vituo mbali mbali ili kupunguza msongomano watu kwani kwa yule ambae hatopata ndani ya Vituo vyao atapatiwa katika vituo vya Tume ya Uchaguzi zilizoko kila Wilaya .

Aliwataka Wananchi wenzake kujitokeza kwa wingi kuchukuwa vitambulisho vyao na wavione kuwa hiyo ni mali yao ambayo itawafanya waweze kupiga kura kwa kumchagua kiongozi wanaemtaka kwa maslahi ya nchi yao.

“ Huwezi kupiga kura kama huna Kitambulisho cha kupigia kura , nawasihi Wananchi wenzangu tujitokeze kuvichukuwa ili tusije tukalalamika baadae,”alisema

Uliza kuhusu taarifa hii
TUKO HAPA KUKUHUDUMIA

Tuijenge Mjini Magharibi pamoja.

Wasiliana nasi ↗