Mkuu wa Wilaya Magharibi “A” Mhe. Suzan P. Kunambi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi ameendesha kikao baina ya ZECO na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, kuhusu mradi wa kuimarisha sekta ...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa wa Mjini Magharibi Nd. Mohammed Ali Abdalla ameambatana na Katibu Tawala Wilaya ya Mjini Dkt. Said Mrisho wakati wa kuwafariji Wahanga wa moto katika Nyumba za Wazee Sebleni ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amewataka Wakaazi wa Mji Mkongwe kuchukua tahadhari dhidi ya miripuko ya moto amesema hayo wakati alipotembelea kwenye e...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amelishukuru Jeshi la Wananchi Tanzania na Jeshi la Uganda wakati wa upokeaji wa msaada wa dawa na vifaa tiba katika Kituo cha afya Mpe...
Soma ZaidiKikao Maalum Kati ya Mhe. Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Taasisi binafsi na Mashirika ya Umma Kuhusu Sensa ya Watu na Makaazi 2022
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini Mchango wa Mashirika ya Serikali na Binafsi katika Maandalizi ya Sensa ya Wat...
Soma ZaidiDk.Stergomena Tax amesisitiza kuendeleza mashirikiano baina ya Kamati za Usalama na Vikosi vya SMZ
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk.Stergomena Tax amesisitiza kuendelezwa mashirikiano yaliopo baina ya Kamati za Usalama za Mikoa na Vikosi vya Ulinzi ili kuimarisha amani na ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka washiriki wa kongamano la kilimo kuwaelimisha wakulima juu ya umuhimu wa kutumia njia za asili katika kilimo badala ya matumizi ya...
Soma ZaidiZiara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akikagua miradi inayojengwa na fedha za Uviko519
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema hatua ya ujenzi wa hospitali 11 kwa kila Wilaya ni sehemu ya Mapinduzi makubwa ya sekta ya afya Zanzibar. ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka watendaji na maofisa wa Serikali wanaosimamia ujenzi wa miradi mbali mbali ya maendeleo kushiriki kikamilifu katika ziara ya Rais wa Zan...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewapongeza wanafunzi wa Mkoa huo waliomaliza kidatu cha Sita mwaka 2022 kwa matokeo mazuri waliyopata katika mtihani wa taifa Ameto...
Soma Zaidi