Category: Habari
Taarifa ya kufanya mabadiliko ya kuimarisha elimu ya msingi kwa kurejesha darasa la saba, Zanzibar
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI(Ijumaa 24/12/2021) Ndugu waandishi wa habari, Sera ya Elimu ya mwaka 2006 inaelekeza elimu ya Msingi ya Miaka Sita kuanzia darasa la kwanza mpaka darasa la sita. K...
Soma ZaidiWawekezaji wametakiwa kuwekeza katika maeneo yanahusiana na Uchumi wa Buluu.
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umewaomba wawekezaji kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza katika Mkoa huo kwenye maeneo mbali mbali yanayohusina na Uchumi wa Buluu. Umesema kwamba kupitia Uchumi wa Bu...
Soma ZaidiViongozi wa Serikali ya Mkoa na Wilaya wametakiwa kushrikiana pamoja na Viongozi wa Shehia katika kuipatia ufumbuzi changamoto ya uharibifu wa Mazingira katika eneo la Mpiga Duri. Makamu wa Pili w...
Soma ZaidiMkuu wa mkoa Mjini Magharibi Idrissa kitwana Mustafa amewataka Masheha wa Mkoa huo kuwa waadilifu katika kutekeleza majukumu yao pamoja na kuondoa changamoto mbali mbali zinazowakab...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa, kwa mujibu wa uwezo aliopewa na Sheria namba 8 ya mwaka 2014 ya Tawala za Mikoa kifungu cha 8 (1), amefanya uteuzi wa Masheha sita wap...
Soma ZaidiSERIKALI ya Mkoa Mjnini Magharibi imeswaagiza masheha wa mkoa huo kuhakikisha wanatekeleza majukumu yako kwa kufuata shehria,taratibu na miongozo ya nchi katika kuwahudumia wananchi bila ya ubaguzi. ...
Soma ZaidiAkizungumza katika sherehe za maadhimisho ya miaka 75 ya uhuru wa Pakistani, Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, alieleza nchi mbili hizo zina historia ya muda mrefu inayotakiwa...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Uviko-19, akibainisha kuwa mbali na ugonjwa huo k...
Soma Zaidi