Baraza la Manispaa Mjini pamoja na Madiwani wa Wadi mbali mbali ziliomo katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuondoa muhali katika kusimamia suala la usafi wa Mji katika Manispaa hiyo. Agizo hilo limeto...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi imewafiki ushauri wa kukaa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali zinazokusanya mapato ili kuweza kuondoa changamoto ziliopo katika ukusanyaji mapato baina ya taa...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka watendaji wa Mkoa, Wilaya na Manispaa za Mkoa huo kuwahamasisha wananchi na sekta mbali mbali kuchangia Mbio za Mwenge wa Uhuru za...
Soma ZaidiZiara ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo kupitia fedha za COVID
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amezitaka Kampuni zilizopewa kazi ya ujenzi wa miradi mbali mbali ya maendeleo kupitia fedha za COVID katika Mkoa huo kuhakikisha kuwa mirad...
Soma ZaidiMkutano wa wadau wa sheria kuhusu utoaji wa huduma za kisheria kwa watoto wanaokinzana na sheria
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amelishukuru Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF kwa msaada wao mkubwa wanaoutoa katika kuelimisha jamii juu ya uhif...
Soma ZaidiSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kupitia sekta mbali mbali katika mkoa wa Mjini Magharibi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Mkuu wa ...
Soma ZaidiZiara ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B katika maeneo yalioathirika na mvua zilizoambatana na upepo.
Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis katika maeneo mbali mbali ya wilaya ya Magharibi B yalioathirika na mvua zilizoambatana na upepo. Katika ziara hiyo aliongozana na Ka...
Soma ZaidiTaarifa ya kufanya mabadiliko ya kuimarisha elimu ya msingi kwa kurejesha darasa la saba, Zanzibar
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI(Ijumaa 24/12/2021) Ndugu waandishi wa habari, Sera ya Elimu ya mwaka 2006 inaelekeza elimu ya Msingi ya Miaka Sita kuanzia darasa la kwanza mpaka darasa la sita. K...
Soma ZaidiWawekezaji wametakiwa kuwekeza katika maeneo yanahusiana na Uchumi wa Buluu.
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umewaomba wawekezaji kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza katika Mkoa huo kwenye maeneo mbali mbali yanayohusina na Uchumi wa Buluu. Umesema kwamba kupitia Uchumi wa Bu...
Soma ZaidiViongozi wa Serikali ya Mkoa na Wilaya wametakiwa kushrikiana pamoja na Viongozi wa Shehia katika kuipatia ufumbuzi changamoto ya uharibifu wa Mazingira katika eneo la Mpiga Duri. Makamu wa Pili w...
Soma Zaidi