Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amefanya uteuzi wa masheha katika baadhi ya shehia za Wilaya ya Magharibi "A" na "B". Masheha wenyewe ni kama ifuatavyo:- Wilaya ya Maghar...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Vijana nchini wametakiwa kuzichangamkia fursa zitakazopatikana kupitia mradi wa Shirika la Misaada la Marekani USAID unaojulikana kama Kijana Nahodha ili waweze kutimiza ndoto zao. Wito huo umetol...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua rasmi mradi wa ujenzi wa maduka 452 wa Darajani Souk. Akizungumza na hadhara iliyohudhuria hafla h...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuzindua rasmi kituo cha biashara cha Darajani Souk siku ya Jumaamosi ya tarehe 18/02/2023. Taari...
Soma ZaidiMatumizi ya mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kupitia ZanMalipo yatapelekea kuongeza mapato yanayokusanywa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi pamoja na Wilaya zake. Hayo yames...
Soma ZaidiWafanyabiashara wa Mkoa Mjini Magharibi wamehimizwa kukata bima ili iweze kuwasaidia pale zinapotokea changamoto mbali mbali katika biashara zao. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magh...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi imeeleza kuwa itatoa mashirikiano ya kutosha ili kufanikisha mradi wa miaka minne wa kuwawezesha vijana kujitegemea unaofadhiliwa na Shirika la Misa...
Soma ZaidiWafanyakazi wa Afisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuyatumia mafunzo wanayoyapata kazini kuleta mabadiliko chanya katika utendaji wa kazi zao. Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawa...
Soma ZaidiMabingwa wa mpira wa miguu wa mashindano yanayoshindanisha timu za Wizara, Mashirika na Taasisi za Serikali timu ya Tawala imekabidhiwa rasmi kombe la mashindano hayo. Tawala alikabidhiwa komb...
Soma ZaidiSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa usimamizi mzuri wa fedha za UVIKO 19 zilizototumika kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo kwa sekta mbali mbali. Pongezi hizo zimetolewa na Rais...
Soma Zaidi