Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuendelea kujenga miundombinu bora ya majengo ya Skuli ili kuboresha huduma za elimu nchini. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Lela Moha...
Soma ZaidiKamati ya kusimamia Afisi za Viongozi Wakuu wa Serikali ya Baraza la Wawakilishi imeutaka uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na ongezeko la omba omba katika Mkoa huo...
Soma ZaidiSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali inatarajia kuanza hivi karibuni ujenzi wa Skuli ya horofa tatu ya Muungano katika Wilaya ya Mjini. Mkuu wa Mkoa ...
Soma ZaidiKazi ya ujenzi wa barabara mpya za mjini ikiwa imeanza katika barabara ya Nyerere eneo la Mnazi mmoja. Zaidi ya kilomita mia moja ya barabara pamoja na barabara za juu (flyover), z...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa amewaasa wafanyakazi wa Afisi yake kuendeleza mashirikiano katika utendaji wao wa kazi Amesema hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakaz...
Soma ZaidiMakamo wa Kwanza wa Rais Mhe. Othman Masoud Othman amewahimiza watendaji na wafanyakazi wa Mabaraza ya Manispaa na Wilaya ya Mjini, Magharibi A na Magharibi B kuongeza juhudi katika kutunza maz...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua Mpango Mkakati pamoja na mradi wa Tumaini wa kuzalisha taulo za wasichana kwa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bo...
Soma ZaidiWizara ya Nchi (OR) Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mikoa na Manispaa wametakiwa kuhakikisha wanalipatia ufumbuzi wa kudumu kero la upigaji wa muziki kwenye maeneo ya makaaz...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi imeamua kurudisha mnada katika Soko la Wajasiriamali la Makufuli kwa siku za Jumatano na Jumamosi kuanzia wiki ijayo. Uamuzi huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Ma...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa kuanza kutumika kwa Soko jipya la Samaki la Malindi kumeinua kipato cha wachuuzi na wafanyabiashara wa soko hilo tangu lifunguliwe rasmi mwezi januari mwaka huu. Akizungumza na waan...
Soma Zaidi