Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Hussein Ali Mwinyi, asubuhi ya leo Jumanne tarehe 11 Oktoba ameondoka Zanzibar kuelekea Oman kwa ziara ya kikazi ya siku nne kufuatia mwa...
Soma ZaidiWadau wa Demokrasia watakiwa kuondosha tofauti zao katika kuiletea maendeleo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wadau wa Demokrasia kuondoa tafauti zao za kisiasa katika kujadili masuala ya maendeleo nchini. Ameyase...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh.Idrissa Kitwana Mustafa amesema kunahaja ya vijana kuijuwa historia ya Zanzibar kuliko wageni kutoka nje kwa maendeleo ya vizazi vya sasa na baadae. Aidha amesema Z...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibu Mohamed Ali Abdalla amewapongeza wafanyakazi wa Mkoa huo kwa uamuzi wao wa kuunda timu ya mpira wa miguu ya Mkoa. Akizungumza na wafanyakazi hao hapo Afis...
Soma ZaidiMaoni yanayokusanywa kuhusu kanuni za kuendesha vikao vya Kamati za Maendeleo ya Mikoa yataimarisha utekelezaji- RC Kitwana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema kuwa maoni yanayokusanywa kuhusu rasimu ya muongozo wa majukumu na uendeshaji wa vikao vya Kamati za Maendeleo za Mikoa yatasaidia kubores...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa ameipongeza Taasisi ya JATA kwa nia yake ya kutatua changamoto za vijana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inathamini jitihada zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kutatua changamoto mbali mbali wanazoka...
Soma ZaidiKatibu Mkuu Wizara ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu awataka wajasiriamali kuwa wavumilivu wakisubiri vifaa vya boti walizokabidhiwa
Wizara ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu imevitaka vikundi vya wajasiriamali waliopewa boti za uvuvi kuwa wastahamilivu wakati Wizara hiyo iko mbioni kuwapatia vifaa vyengine kwa ajili ya kazi zao. ...
Soma ZaidiRC Kitwana ameushauri Uongozi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere kutambua mipaka ya eneo lao
Uongozi wa Mkoa wa Mjini Magharibi umekishauri Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuitambua mipaka iliyowekwa na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi ...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Mohd Ali Abdalla amewataka Wakandarasi wa miradi ya fedha za Uviko19 kufanya juhudi ya kumaliza miradi hiyo kama serekali ilivyoagiza Amesema licha ya ...
Soma ZaidiMtu mmoja Mwanamme anaekisiwa kuwa na umri wa miaka 52 amefariki dunia baada kuzama katika Ziwa la Jangamizini liliopo mpakani mwa shehia ya Mambosasa na Chunga Wilaya ya Magharibi B Unguja D...
Soma Zaidi