Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amewataka wafanyabiashra wa Soko la muda la Mwanakwerekwe kuendelea kuwa wastahamilivu wakati ujenzi wa Soko jipya la Mwanakwerekwe ukiendele...
Soma ZaidiWatumishi wa Umma wametakiwa kufuata ipasavyo maadili ya kazi zao katika kutekeleza majukumu waliyopangiwa. Akizungumza na wafanyakazi katika ziara ya kushtukiza Ofisi ya Baraza la Manispaa Magha...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema kwamba utahakikisha unaimarisha mashirikiano baina ya wazazi, walimu na wanafunzi ili kuinua kiwango cha elimu na ufaulu katika Mkoa huo. Katibu Tawala ...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa kitwana Mustafa amewaapisha Masheha wapya wa baadhi ya Shehia katika Wilaya ya Magharibi A na Wilaya ya Magharibi B aliyowateua hivi karibuni. Waliyoa...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amefanya uteuzi wa masheha katika baadhi ya shehia za Wilaya ya Magharibi "A" na "B". Masheha wenyewe ni kama ifuatavyo:- Wilaya ya Maghar...
Soma ZaidiVijana nchini wametakiwa kuzichangamkia fursa zitakazopatikana kupitia mradi wa Shirika la Misaada la Marekani USAID unaojulikana kama Kijana Nahodha ili waweze kutimiza ndoto zao. Wito huo umetol...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezindua rasmi mradi wa ujenzi wa maduka 452 wa Darajani Souk. Akizungumza na hadhara iliyohudhuria hafla h...
Soma ZaidiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuzindua rasmi kituo cha biashara cha Darajani Souk siku ya Jumaamosi ya tarehe 18/02/2023. Taari...
Soma ZaidiMatumizi ya mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kupitia ZanMalipo yatapelekea kuongeza mapato yanayokusanywa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi pamoja na Wilaya zake. Hayo yames...
Soma ZaidiWafanyabiashara wa Mkoa Mjini Magharibi wamehimizwa kukata bima ili iweze kuwasaidia pale zinapotokea changamoto mbali mbali katika biashara zao. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magh...
Soma Zaidi