Category: Habari Mpya
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewaagiza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha kuwa miradi yote itakayozinduliwa, kuwekewa mawe ya msingi na kukaguliwa wakati wa Mbio za Mwenge wa Uhuru ...
Soma ZaidiDk. Mwinyi akitoa Msaada wa futari kwa watu wenye ulemavu, mayatima, wajane na wanaoishi mazingira magumu
Jumla ya wananchi elfu tatu wa Mkoa Mjini Magharibi wamepatiwa sadaka ya bidhaa mbali mbali za chakula kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. ...
Soma ZaidiHafla ya Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa ajili wa wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi. Iftar hiyo ilifanyika katika ukumbi wa...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema utashirikiana na Sekta husika ili kupata maeneo yatakayojengwa madarasa yaliyobakia
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema kuwa utashirikiana na Sekta husika ili kupata maeneo yatakayojengwa madarasa yaliyobakia katika Mkoa huo. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Ma...
Soma ZaidiSerikali haitamvumilia mtendaji yoyote atakaechelewesha malipo kwa Kampuni zinazojenga miradi ya maendeleo kupitia fedha za UVIKO 19.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haitamvumilia mtendaji yoyote atakaechelewesha malipo kwa Kampuni zinazojenga miradi ya maendeleo kupitia fedha za UVIKO 19. Indhari hiyo imetolewa n...
Soma ZaidiMakamu wa Pili wa Rais amewashukuru wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi kwa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Zanzibar katika juhudi zake za kuwaletea maendeleo wananchi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla amewashukuru wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi kwa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Zanzibar katika juhudi zake za kuwaletea maendeleo wa...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeahidi kuyafanyia kazi maelekezo yote yaliyotolewa na Makamu wa Pill wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdalla . Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa M...
Soma ZaidiSerikali haipo tayari kuona miradi ya maendeleo inayojengwa kupitia fedha za UVIKO-19 inacheleweshwa – Mhe. Hemed
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdalla amesema Serikali haiko tayari kuona miradi ya maendeleo inayojengwa kwa fedha za UVIKO 19 inachelewa kumalizika kwa visingizio mba...
Soma ZaidiRc Kitwana aridhishwa na hatua za utekelezaji wa miradi ya fedha za Uviko-19 wilaya ya Mjini
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa miradi ya maendeleo inayojengwa kupitia fedha za UVIKO 19 katika Wilaya ya Mjini. M...
Soma Zaidi