Masheha wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kufuatilia kwa karibu watu wanaohamia kwenye Shehia zao ili kudhibiti wahamiaji haramu. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa...
Soma ZaidiCategory: Habari Mpya
Timu ya Wizara ya Nchi (AR) Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ imefanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuibwaga mabao 2-1 timu ya Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni ...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umelishukuru Shirika la Misaada la Marekani USAID na Jumuia ya Zanzibar Muslim Women AIDS Support Organization (ZAMWASO), kwa msaada wao kwa watoto na kaya zilizo kati...
Soma Zaidi“Ipo haja kwa Watumishi kupatiwa Mafunzo ya Ulinzi wa Mifumo ya Mitandao” RC Kitwana.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mh. Idrissa Kitwana Mustafa amesema ipo haja kwa Watumishi kupatiwa Mafunzo ya Ulinzi wa Mifumo ya Kompyuta na kuzuwia wizi wa Mitandao ili waweze kulinda taarifa mbal...
Soma ZaidiMstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohammed Mussa amefungua kongamano la kupinga vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika jamii. Akihutubia wakati akifungua kongamano hilo amesema Ser...
Soma ZaidiMamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA imesema kwamba tayari imetoa elimu kwa watendaji na wasimamizi wa fedha wa Mabaraza ya Manispaa na Halmashauri lengo ni kuondoa kasoro ambazo...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewataka Masheha wa Mkoa huo kuongeza mashirikiano katika utendaji wa kazi zao. Amesema mashirikiano baina yao ndio njia pekee itakayoweza...
Soma ZaidiKatibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh'd Ali Abdalla ameitaka Kamati ya Mitihani ya Mkoa huo kusimamia vyema mitihani ya taifa ya kidatu cha nne ambayo imeanza kufanyika mwanzoni mwa wiki hii. ...
Soma ZaidiBaraza la Biashara la Mkoa limeshauriwa kuziangalia sheria na kanuni zinazosimamia biashara
Baraza la Biashara la Mkoa Mjini Magharibi limeshauriwa kuziangalia sheria na kanuni zinazosimamia biashara ili kuepuka wafanya biashara wa jumla kujiingiza katika kufanya biashara za reja reja. ...
Soma ZaidiImeelezwa kuwa kutokana na matokeo ya sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 kuna haja kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuupa kipaumbele Mkoa Mjini Magharibi katika mipango yake mbali mbal...
Soma Zaidi