Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idirisa Kitwana Mustafa ameishukuru Benki ya Watu wa Zanzibar kwa msaada wa sare kwa ajili ya waendesha Bodaboda wa Mkoa huo. Ametoa shukurani hizo katika uwanj...
Soma ZaidiWizara ya Elimu na Mafuzo ya Amali imesisitiza haja ya kuwepo mashirikiano baina ya Wizara hiyo na Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi ili kufanikisha awamu ya pili ya programu ya kuwarudisha Skul...
Soma ZaidiMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla ameipa muda wa wiki mbili Wizara ya Nchi (OR) Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi na Baraza la Manis...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa akiwa katika kikao na Umoja wa Maaskari Wastaafu kilichofanyika katika Ofisi za Umoja huo Kijangwani. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kiliz...
Soma ZaidiSerikali ya Mkoa Mjini Magharibi itahakikisha wawekezaji ndani ya Mkoa wanatimiza wajibu wao
Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi imesema kwamba itahakikisha wawekezaji ndani ya Mkoa huo wanatimiza wajibu wao wa kusaidia huduma muhimu za jamii ziliyopo karibu na miradi yao. Kauli hiyo i...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewaagiza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha kuwa miradi yote itakayozinduliwa, kuwekewa mawe ya msingi na kukaguliwa wakati wa Mbio za Mwenge wa Uhuru ...
Soma ZaidiDk. Mwinyi akitoa Msaada wa futari kwa watu wenye ulemavu, mayatima, wajane na wanaoishi mazingira magumu
Jumla ya wananchi elfu tatu wa Mkoa Mjini Magharibi wamepatiwa sadaka ya bidhaa mbali mbali za chakula kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. ...
Soma ZaidiHafla ya Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa ajili wa wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi. Iftar hiyo ilifanyika katika ukumbi wa...
Soma ZaidiUongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema utashirikiana na Sekta husika ili kupata maeneo yatakayojengwa madarasa yaliyobakia
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema kuwa utashirikiana na Sekta husika ili kupata maeneo yatakayojengwa madarasa yaliyobakia katika Mkoa huo. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Ma...
Soma Zaidi