Wilaya ya Mjini ni moja kati ya Wilaya tatu (3) za Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wilaya ya Mjini ina majimbo sita 9 ya kiuchaguzi, wadi 18 na Shehia 56.
Ki Utawala
Wilaya ya Mjini imeundwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Baraza la Manispaa. Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inaongozwa na Mkuu wa Wilaya Muheshimiwa Rashid Simai Msaraka na Katibu Tawala Ndugu Juma Abdallah.
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inajumla ya vitengo vitatu :-
- Mipango na uratibu
- Fedha
- Utumishi
Majukumu ya Wilaya
- Kufuatilia, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa shughuli mbali mbali za Serikali ndani ya Wilaya
- Kuhakikisha kuwa sera, Mipango na miongozo ya Serikali inatekelezwa
- Kuhakikisha kuwa Sheria na kanuni zinafuatwa katika Wilaya kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
- Kuhakikisha kuwa rasilimali zote zinatumika kwa ajili ya kuimarisha uchumi na ustawi wa jamii.
MASHEHA WILAYA YA MJINI MWAKA 2021
NO | SHEHIA | JINA LA SHEHA |
1 | AMANI | MAABAD ALI MAKAME |
2 | BANKO | JUMA MAKAME KOMBO |
3 | CHUMBUNI | HASSAN JUMA JUMA |
4 | GULIONI | HAMIMU ISSA MAKAME |
5 | JANG’OMBE | KHAMIS AHMADA SALUM |
6 | KIDONDO CHEKUNDU | HAJI SIMAI HAJI |
7 | KILIMAHEWA JUU | DAUD OMAR ABDUL |
8 | KISIMA MAJONGOO | JACKOB J. MWAKINGILI |
9 | KARAKANA | JUMA OTHMAN ABDALLA |
10 | KIKWAJUNI BONDENI | IBRAHIM ALI IBRAHIM |
11 | KIKWAJUNI JUU | ASHA ALI ALI |
12 | KILIMAHEMA BONDENI | MLEKWA ALI MMANGA |
13 | KILIMANI | KHALID ALI KOMBO |
14 | KIPONDA | JUMA KHAMIS MAKAME |
15 | KISIWANDUI | ABDUL BAKAR JAFFAR |
16 | KWAALINATU | SALUM SHAABAN MZEE |
17 | KWA WAZEE | ABDULRAHMAN OMAR KASONGO |
18 | KWABITI AMRANI | ELVIS VICTOR LAUNDA |
19 | KWAMTUMWA JENI | RAJAB ALI NGAUCHWA |
20 | KWAALAMSHA | KASSIM MOH’D BAKARI |
21 | KWAHANI | MOHAMMED MUSSA MACHANO |
22 | KWAMTIPURA | AMEIR SLEIMAN KHAMIS |
23 | MWEMBE LADU | KHAMIS OMAR KHAMIS |
24 | MWEMBE MAKUMBI | HALIMA AZAN MAKAME |
25 | MWEMBE SHAURI | ABDULLA ALI ABDULLA |
26 | MAGOMENI | ABDALLA ASHKINA ALI |
27 | MAKADARA | JUMA MUSSA JUMA |
28 | MALINDI | HASSAN MASSOUD ALI |
29 | MAPINDUZI | SHARIFA ABEID KHAMIS |
30 | MARUHUBI | TUMU KHERI SULEIMAN |
31 | MASUMBANI | KOMBO JUMA HAJI |
32 | MATARUMBETA | SOUD RAJAB SOUD |
33 | MBORIBORINI | MZEE HAJI MUSSA |
34 | MCHANGANI | NASSIR MOH’D ALI |
35 | MEYA | MOSI KHAMIS YUSSUF |
36 | MIEMBENI | ALI ABDALLA KIDEMERE |
37 | MIGOMBANI | KAMA OMAR MASHANGO |
38 | MIKUNGUNI | MAKAME KHATIB HASSAN |
39 | MITI ULAYA | MOH’D JUMA MUGHERY |
40 | MKELE | ALI SILIMA SHAUR |
41 | MKUNAZINI | FUAD MOHAMMED HUSEIN |
42 | MLANDEGE | HAFSA SAID |
43 | MNAZI MMOJA | JUMA MOH’D MUGHEIR |
44 | MPENDAE | SULEIMAN ALI MAKUU |
45 | MUUNGANO | KITWANA M. MAKAME |
46 | MWEMBE MADEMA | GHARIB ALI KOMBO |
47 | MWEMBE TANGA | RAMADHAN OMAR IBRAHIM |
48 | NYERERE | ALI HAMDU SHUMBAGI |
49 | RAHALEO | MWANAHER S. MAHMOUD |
50 | SAATENI | HUSSEIN HAMZA NYANGE |
51 | SEBLENI | MOHAMMED MAULID MUSSA |
52 | SHANGANI | KHATIB MWINYI ISMAIL |
53 | SHAURIMOYO | KOMBO DENGE KITIBA |
54 | SOGEA | ABDALLA MOH’D ABDALLA |
55 | URUSI | YUSSUF JUMA MTUMWA |
56 | VIKOKOTONI | ALI KHAMIS ALI |