Wilaya ya Magharibi “B” ni moja kati ya Wilaya tatu (3) za Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wilaya ya Magharibi “B” ina majimbo sita 6 ya kiuchaguzi, wadi 12 na Shehia 34.
Ki Utawala
Wilaya ya Magharibi “B” imeundwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Baraza la Manispaa. Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inaongozwa na Mkuu wa Wilaya Muheshimiwa Hamida Mussa Khamis na Katibu Tawala Ndugu Sahim Haroun.
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inajumla ya vitengo vitatu :-
- Mipango na uratibu
- Fedha
- Utumishi
Majukumu ya Wilaya
- Kufuatilia, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa shughuli mbali mbali za Serikali ndani ya Wilaya
- Kuhakikisha kuwa sera, Mipango na miongozo ya Serikali inatekelezwa
- Kuhakikisha kuwa Sheria na kanuni zinafuatwa katika Wilaya kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
- Kuhakikisha kuwa rasilimali zote zinatumika kwa ajili ya kuimarisha uchumi na ustawi wa jamii.
MASHEHA WILAYA YA MAGHARIBI “B” MWAKA 2021
NO | SHEHIA | JINA LA SHEHA |
1 | BWELEO | MATAKA MAKAME MATAKA |
2 | CHUNGA | KARUME ALI MOH’D |
3 | DIMANI | ALI RAJAB KHAMIS |
4 | DIMANI | KHATIBU AME BARAKA |
5 | FUMBA | MOH’D SULEIMAN MOH’D |
6 | FUONI KIPUNGANI | MARTINA RAPHAEL DANIEL |
7 | FUONI MIGOMBANI | KASSIM ABDULSHAKUR HAJI |
8 | IJITIMAI | RASHID MWADINI OMAR |
9 | KIBONDENI | IDDI ABDALLA HAJI |
10 | KIEMBE SAMAKI | ABDALLA ZAHOR ABEID |
11 | KIJITOUPELE | MWANAKHIR ALI PANDU |
12 | KINUNI | RAMADHAN KHAMIS MAHONGE |
13 | KISAUNI | HIJA S. OTHMANI |
14 | KOMBENI | AHMAD BARUA KOMBO |
15 | KWAMCHINA | ZAMZAM ALI RIJALI |
16 | M/KWEREKWE | AMANI AYOUB MAKAME |
17 | M/MAJOGOO | MWANAHAWA HAJI JUMA |
18 | MAGOGONI | ABDULWAHAB M. AHMADA |
19 | MAMBOSASA | ASIA OMAR MOH’D |
20 | MAUNGANI | KHAMIS MZEE MWINSHEHE |
21 | MBWENI | HASSAN MOH’D MATAKA |
22 | MELINNE | NOMAN MAULID SALUM |
23 | MICHUNGWANI | FAUZIA OMAR MAHAWI |
24 | MIKARAFUUNI | SULEIMAN HAJI ALI |
25 | MNARANI | RAMADHAN ABDALLA RAJAB |
26 | MOMBASA | HUSSEIN ABDULRAHMAN YUSSUF |
27 | NYAMANZI | ISSA ABDALLA ALI |
28 | PANGAWE | MAKAME PANDU MGANA |
29 | SHAKANI | MWANAISHA KHAMIS RASHID |
30 | SOKONI | KOMBO ALI AMEIR |
31 | TAVETA | YUSSUF MAKAME MOHAMMED |
32 | TOMONDO | MOHAMED OMAR SAID |
33 | UWANDANI | JUMA MUSSA JUMA |
34 | UZI | YUSSUF MOH’D MRISHO |