Wilaya ya Magharibi “A” ni moja kati ya Wilaya tatu (3) za Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wilaya ya Magharibi “A” ina majimbo sita 5 ya kiuchaguzi, wadi 10 na Shehia 31.
Ki Utawala
Wilaya ya Magharibi “A” imeundwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Baraza la Manispaa. Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inaongozwa na Mkuu wa Wilaya Muheshimiwa Suzan Peter Kunambi na Katibu Tawala Ndugu Juma Hamad.
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inajumla ya vitengo vitatu :-
- Mipango na uratibu
- Fedha
- Utumishi
Majukumu ya Wilaya
- Kufuatilia, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa shughuli mbali mbali za Serikali ndani ya Wilaya
- Kuhakikisha kuwa sera, Mipango na miongozo ya Serikali inatekelezwa
- Kuhakikisha kuwa Sheria na kanuni zinafuatwa katika Wilaya kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
- Kuhakikisha kuwa rasilimali zote zinatumika kwa ajili ya kuimarisha uchumi na ustawi wa jamii.
MASHEHA WILAYA YA MAGHARIBI “A” MWAKA 2021
NO | SHEHIA | JINA LA SHEHA |
1 | BUBUBU | SUWELLUM ALI JUMA |
2 | BUBUBU CHEMCHEM | AME MAKAME JUMA |
3 | BUMBWI SUDI | HAWA SHABAN KAZWIKA |
4 | CHUINI | MOHAMMED SHEHA KHEIR |
5 | DOLE | SUBIRA AMIRI AMOUR |
6 | HAWAII | MWADINI HAJI JONGO |
7 | KAMA | KHAMIS BAKARI KHAMIS |
8 | KIANGA | RAJAB ASEDI MVITA |
9 | KIBWENI | SUBIRA HAJI YAHYA |
10 | KIDICHI | *** |
11 | KIHINANI | OMAR JUMA MASOUD |
12 | KIKAANGONI | *** |
13 | KIZIMBANI | JUMA SULEIMAN KHAMIS |
14 | KWA GOA | ALI HAJI ALI |
15 | MASINGINI | RAMADHAN KHAMIS ALI |
16 | MBUZINI | NDAGULA HASSAN JUMA |
17 | MFENESINI | SHAABAN ABDALLA SULEIMAN |
18 | MICHIKICHINI | KIJAKAZI FERUZI KHAMIS |
19 | MTOFAANI | *** |
20 | MTONI | *** |
21 | MTONI CHEMCHEM | RASHID JADI RASHID |
22 | MTONI KIDATU | MUKI MAKAME USSI |
23 | MTOPEPO | ISSA AHMADA HIJA |
24 | MUNDULI | HAMAD SALUM HAMAD |
25 | MWAKAJE | KASONGO OMAR KASONGO |
26 | MWANYANYA | HASSAN RAJAB BAKARI |
27 | MWEMBE MCHOMEKE | ALI HAJI NEMSHI |
28 | MWERA | SILIMA KHAMIS ZAHOR |
29 | SHARIMSA | WANU MAKAME HASSAN |
30 | UHOLANZI | ISMAIL JUMA HASSAN |
31 | WELEZO | MOH’D OMAR KHAMIS |