Wajasiriamali wahimizwa kurejesha mikopo
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amevihimiza vikundi vya wajasiriamali kurejesha kwa wakati uliopangwa mkopo wa boti za uvuvi ili kuweza
Matokeo ya Mitihani ya Mock 2023 Mkoa Mjini Magharibi
Bonyeza Hapa Kupata Matokeo ya Mitihani ya Mock 2023 Mkoa Mjini Magharibi
Masheha watakiwa kuwatambua wahamiaji.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amewataka Masheha wa Mkoa huo kushirikiana na Jeshi la Uhamiaji katika kuwatambua wageni wanaoishi kwenye maeneo
RC aridhishwa na maandalizi ya uzinduzi wa mchezo wa ngumi.
Mabondia wa ngumi za kulipwa Karim Mandonga , Dula Mbabe na Ibrahim Class wanatarajiwa kuwasili Zanzibar kesho mchana katika Bandari ya Malindi kwa ajili ya
Mpango wa kudhibiti Malaria 2023 – 2028 waanza
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa amesema mashirikiano ya wadau mbali mbali ni muhimu katika kufanikisha mpango wa miaka mitano wa kutokomeza malaria
RC azitaka Wizara kuushirikisha Mkoa katika ujenzi wa miradi
Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi umezitaka Wizara mbali mbali kuushirikisha kikamilifu Mkoa huo katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na uongozi wa
Watendaji Manispaa watakiwa kubadilika
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi idrissa Kitwana Mustafa amewataka watendaji na wafanyakazi wa Baraza la Manispaa Mjini kubadilika katika utendaji wa kazi zao. Amesema baadhi
Tutazishughulikia changamoto za Skuli – RAS
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeahidi kuwa utachukuwa hatua za haraka kukaa pamoja na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ili kuweza kuzipatia ufumbuzi
Wafanyakazi wa Umma watakiwa kutoa mashirikiano kwa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar
Wafanyakazi wa umma wametakiwa kutoa mashirikiano yao kwa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF), ili mfuko huo uweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Ushauri
“Zanzibar Taka Ziro Inawezekana” Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe Mahmoud Muhammed Mussa amesema Baraza la Jiji la Zanzibar kwa kushirikiana na Taasisi zinazoshughulika na masuala ya Usafi