Hali ya Ulinzi yaimarisha. RC Kitwana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uhamasishaji ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Idrissa
Hospitali ya Wilaya ya Magharibi ‘B’ Yafunguliwa Rasmi.
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeendelea katika Mkoa Mjini Magharibi ambapo Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume amefungua
Dkt.Shein aitaka Wizara ya Afya Kusomesha Madaktari zaidi.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameisisitiza Wizara ya Afya kusomesha vijana wa fani mbali mbali katika sekta ya afya Ili kupata wataaamu
Serikali Kuendeleza Ujenzi wa Miradi ya Maji
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Othman Masoud Othman amefungua mradi wa maji safi na salama Skimu ya Masingini, Wilaya ya Magharibi ‘A’. Akihutubia wananchi
Wachukulieni hatua wafanyakazi wasiowajibika. RAS
Uongozi wa Wilaya na Baraza la Manispaa Magharibi ‘B’ umetakiwa kutosita kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wafanyakazi wasiowajibika. Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala
RC Kitwana awaapisha Masheha aliowateua
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewaapisha Masheha wa Shehia tano za Mkoa huo aliwateua tarehe 14/12/2023. Masheha aliowaapisha kwa Wilaya ya Mjini
Masheha Watumieni Polisi Shehia: RPC
Masheha wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuwatumia kikamilifu Polisi Shehia katika kushughulikia changamoto mbali mbali kwenye maeneo yao. Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi, Kamishna
Mianya ya Udhalilishaji wa Kijinsia Yabainika.
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeahidi kutoa kila aina ya mashirikiano kwa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia ili kuhakikisha dhamira ya Serikali kuunda Kamati
TRA yapongweza kwa kufikia malengo ya makusanyo 2022-2023
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kufikia malengo ya makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita. Amesema
Mkoa kuendeleza mashirikiano na wadau wa Maendeleo
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema kwamba utaendelea kufanya kazi kwa karibu na taasisi zenye lengo la kuisaidia jamii. Katibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh’d