- Majukumu ya Kitengo cha Habari na Mawasiliano
- Kukusanya na kusambaza taarifa mbali mbali zinazohusu Mkoa zinazotekelezwa na Serikali, Mkuu wa Mkoa, viongozi mbali mbali wa Mkoa, Wilaya, Manispaa pamoja na wananchi kupitia vyombo vya habari vya Serikali na binafsi.
- Kuandaa Mikutano ya Mkuu ya Mkuu wa Mkoa na waandishi wa Habari
- kushajihisha watendajii wa Mkoa katika kutoa taarifa mbalimbali za matukio ndani ya Mkoa
- Kuandaa Makala na Majarida yanayohusu shughuli za Mkoa na kusambaza katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii
- kusimamia miundombinu ya Tehama ndani ya Mkoa
- Kushauri juu ya matumizi ya mifumo ya Tehama ndani ya Mkoa
- Kuratibu na kutathmini mifumo ya Kielektroniki inayotumiwa na mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo ndani ya Mkoa
- Kushirikiana na Maofisa Habari na Maofisa Uhusiano wa Wilaya na Mabaraza ya Manispaa yaliyomo ndani ya Mkoa