Huduma za Elimu
- Kutoa uhamisho wa wanafunzi
- kufuatilia uendeshaji na usimamizi wa shule za Msingi na Sekondari za Serikali na binafsi
- Kukusanya na kuchambua takwimu za elimu
- Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu
- Kusimamia usajili wa wanafunzi darasa la awali, kwanza na kidato cha kwanza
- Kusimamia mitihani ya utimilifu na ya kitaifa
- Kuhimiza utoaji wa Motisha kwa walimu na shule zinazofanya vizuri katika Mitihani mbalimbali
- Kusimamia uendeshaji wa elimu ya watu wazima
Huduma za Jamii
- Migogoro ya Ardhi
- Ndoa za Kiserikali
- Kushughulikia kesi za udhalilishaji
- Kuratibu misaada ya wazee
- Kuratibu masuala ya watu wenye ulemavu
Huduma za Uchumi na Uzalishaji Mali
- Kufuatilia maendeleo ya wajasiriamali
- Kusaidia na kutoa ushauri katika uanzishaji na uendelezaji wa viwanja vidogo vidogo na vya kati katika Mkoa
- Kutoa ushauri wa kitaalam juu ya masuala ya kilimo, ufugaji, uvuvi, viwanda biashara na masoko.
- Kutoa msaada wa uwezeshaji wananchi kiuchumi na kijamii