Shilingi bilioni 118.6 zatumika Mkoa Mjini Magharibi.
Kiasi cha shilingi bilioni 118.6 zitatumika kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2023 katika Wilaya tatu za Mkoa Mjini Magharibi.
TASAF watakiwa kisimamia vyema ujenzi wa miradi
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Nchini (TASAF), kwa upande wa Unguja umetakiwa kuhakikisha unasimamia vyema miradi ya maendeleo itakayotekelezwa katika awamu ya tatu ya mradi
RC aagiza barabara ya Kinuni Skuli hadi Fuoni Mambosasa kutengenezwa
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa ameuagiza uongozi wa Wakala wa Barabara Zanzibar kuchukua hatua za dharura kuifanyia matengezezo barabara itokayo Kinuni
Mkuu wa Mkoa atoa onyo kwa Matapeli.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia majina ya viongozi kuwatapeli wananchi wanohitaji huduma zinazotolewa na Serikali.
Muungano umeleta mafanikio makubwa Mkoa Mjini Magharibi-RC
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amesema Miaka 59 ya Muungano wa Tangayika na Zanzibar imeleta mafanikio na manufaa makubwa katika
Mkoa waimarisha ulinzi Sikukuu ya Eid El Fitri
Serikali ya Mkoa Mjini Magharibi imesema kwamba itahakikisha hali ya ulinzi na usalama inaimarika katika maeneo mbali mbali ili wananchi wake waweze kusherehekea sikukuu ya
RC atoa wito wananchi kushiriki Maadhimisho ya Muungano
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye matukio mbali mbali yatakayofanyika ndani ya Mkoa huo
Mkuu wa Mkoa awashukuru Mashekh
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amewashukuru mashekh kwa namna walivyoutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kutoa elimu ya dini pamoja na
Wasimamizi wa Mradi wa Kijana Nahodha wasisitizwa kuzingatia vigezo.
Katibu Tawala Mkoa wa Mjini Magharibi Moh’d Ali Abdallah amewaagiza wasimamizi wa mradi wa Kijana Nahodha kuwa waadilifu pamoja na kuzingatia vigezo katika kuwachagua vijana
Watu wenye mahitaji maalum wapatiwa sadaka.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewashukuru wafadhili waliojitokeza kuwasaidia wananchi katika kipindi cha mwezi mtukufu wa