Masheha kutoa maoni juu ya Kanuni ya Makaazi ya Watalii
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema uwepo wa Kanuni ya Makaazi ya Watalii kutasaidia kuthibiti matumizi ya nyumba zinazolaza wageni kwenye Shehia.
“Fanyeni mazoezi, kuleni vyakula vyenye virutubisho”-Mama Mariam Mwinyi
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi ametoa wito kwa jamii kuzingatia suala la
Kampeni ya msaada wa kisheria ngazi ya Mkoa yazinduliwa.
Imeelezwa kuwa uwepo wa wasaidizi wa sheria kunasaidia kuondoa changambato zinazowakabili wananchi katika kudai haki zao ndani ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa
Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Mkoa wa Kusini.
Mkuu wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Rashid Hadid Rashid baada ya kumaliza mbio zake
Mkoa Mjini Magharibi Wamiminiwa Pongezi.
Mkoa Mjini Magharibi umepongezwa kwa kuonesha uzalendo na mashirikiano makubwa katika Mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka 2023 ndani ya Mkoa huo. Pongezi hizo
Changamkieni fursa za ujasiriamali: Abdallah Kaimu
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Abdallah Shaib Kaim ametoa wito kwa wanawake na vijana kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya ujasiriamali. Wito huo
Mbio za Mwenge wa Uhuru zaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maji.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongewa kwa ujenzi wa miradi mikubwa ya Maendeleo katika Mkoa Mjini Magharibi. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa matangi
Mwenge wa Uhuru umeingia Wilaya ya Magharibi ‘A kuendelea na mbio zake.
Viongozi wa Wilaya ya Mjini wametakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Wilaya yao. Agizo hilo limetolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa
Tengeni fedha kuhifadhi mazingira: Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdallah Shaib Kaim amezitaka Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutenga bajeti ndogo ndogo ambazo zitakwenda
Mwenge wa Uhuru waanza mbio zake Mkoa Mjini Magharibi.
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake katika Mkoa Mjini Magharibi ukitokea Mkoa wa Dar-es-salaam. Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yalifanyika katika Uwanja wa Ndege wa