RC Kitwana awaapisha Masheha aliowateua
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewaapisha Masheha wa Shehia tano za Mkoa huo aliwateua tarehe 14/12/2023. Masheha aliowaapisha kwa Wilaya ya Mjini
Masheha Watumieni Polisi Shehia: RPC
Masheha wa Mkoa Mjini Magharibi wametakiwa kuwatumia kikamilifu Polisi Shehia katika kushughulikia changamoto mbali mbali kwenye maeneo yao. Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi, Kamishna
Mianya ya Udhalilishaji wa Kijinsia Yabainika.
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umeahidi kutoa kila aina ya mashirikiano kwa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia ili kuhakikisha dhamira ya Serikali kuunda Kamati
TRA yapongweza kwa kufikia malengo ya makusanyo 2022-2023
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kufikia malengo ya makusanyo ya kodi kwa mwaka uliopita. Amesema
Mkoa kuendeleza mashirikiano na wadau wa Maendeleo
Uongozi wa Mkoa Mjini Magharibi umesema kwamba utaendelea kufanya kazi kwa karibu na taasisi zenye lengo la kuisaidia jamii. Katibu Tawala Mkoa Mjini Magharibi Moh’d
Mabaraza ya Vijana ongezeni bidii mapambano VVU: RC Kitwana
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amewahimiza viongozi wa mabaraza ya vijana taifa, mkoa, wilaya na shehia kupanga mikakati madhubuti ili kuhakikisha vijana
Ofisi ya Mtakwimu yapongezwa kwa kutoa elimu ya matumizi ya Sensa
Mkuu wa Mkoa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa ameipongeza Ofisi ya Mtakwimu Zanzibar kwa kutoa elimu kwa Masheha na Madiwani wa Mkoa huo kuhusu
RC Kitwana aagiza kufanywa tathmini ya haraka waliyoathirika na mvua:
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrissa Kiwana Mustafa ameziagiza Wilaya kuratibu na kufanya tathmini ya haraka ya miundo mbinu na makaazi ya watu waliyoathirika na
Viongozi Manispaa fanyeni kazi kwa mashirikiano – RAS Mjini Magharibi
Imeelezwa kuwa mashirikiano ya karibu baina ya Manispaa na Jiji ndio njia pekee itakayopelekea kuleta ufanisi wa kazi. . Katibu Tawala Mkoa wa Mjini Magharibi
ACP Richard afichua Wahalifu na kukamata Bastola
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Ndugu Khelef Khamis Abeid mwenye umri wa miaka kumi na nane (18) Mkaazi wa Bububu kwa kupatikana