Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Abdallah Shaib Kaim ametoa wito kwa wanawake na vijana kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya ujasiriamali. Wito huo ameutoa wakati akitembelea mabanda ya...
Soma ZaidiCategory: Habari
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongewa kwa ujenzi wa miradi mikubwa ya Maendeleo katika Mkoa Mjini Magharibi. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa matangi ya maji huko Kama, Kio...
Soma ZaidiViongozi wa Wilaya ya Mjini wametakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye Wilaya yao. Agizo hilo limetolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Adallah Shaib Kaimu wak...
Soma ZaidiKiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdallah Shaib Kaim amezitaka Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutenga bajeti ndogo ndogo ambazo zitakwenda kuongeza nguvu katika kutunza mazingira pam...
Soma ZaidiMwenge wa Uhuru umeanza mbio zake katika Mkoa Mjini Magharibi ukitokea Mkoa wa Dar-es-salaam. Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru yalifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume ambapo Mkuu w...
Soma ZaidiKiasi cha shilingi bilioni 118.6 zitatumika kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2023 katika Wilaya tatu za Mkoa Mjini Magharibi. Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe....
Soma ZaidiMfuko wa Maendeleo ya Jamii Nchini (TASAF), kwa upande wa Unguja umetakiwa kuhakikisha unasimamia vyema miradi ya maendeleo itakayotekelezwa katika awamu ya tatu ya mradi huo. Kauli hiyo imetolewa...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa ameuagiza uongozi wa Wakala wa Barabara Zanzibar kuchukua hatua za dharura kuifanyia matengezezo barabara itokayo Kinuni Skuli hadi Fuoni Mam...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa ametoa onyo kali kwa watu wanaotumia majina ya viongozi kuwatapeli wananchi wanohitaji huduma zinazotolewa na Serikali. Amesema Serikali y...
Soma ZaidiMkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amesema Miaka 59 ya Muungano wa Tangayika na Zanzibar imeleta mafanikio na manufaa makubwa katika Mkoa wake. Ameyasema hayo katika Sher...
Soma Zaidi